ANAITWA MR. PEIK JOHANSSON
MAONI YANGU JUU YA KILE NILICHOJIFUNZA KATIKA WORKSHOP YA INTERNET KWA EDITORS NA TRAINERS, NOV. 10 -14,2008.
Binafsi ninaiwashukuru sana MISA TANZANIA sanjari na UBALOZI WA FINLAND nchini Tanzania kwa kutuwezesha kupata mafunzo haya ambayo yameweza kunipa changamaoto zaidi katika matumizi ya Tovuti.
Awali niliweza kutumia tovuti, lakini si kwa kiwango kama hiki ambacho nimeweza kujifunza sasa.
Sina budi kumshukuru Mwalimu Mr. Peik Johansson kutoka Finland ambaye ametushirikisha mbinu mbalimbali za matumizi ya Tovuti (Internet) katika kutafuta habari mbalimbali duniani hata zile ambazo kwetu tuliona kama ndoto kuweza kuzipata.
Lakini sasa baada ya kozi hii, ntaweza kufanya kazi kwa uhakika zaidi bila kutumia nguvu kama ilivyokuwa hapo awali.
Ni wazi kuwa ulimwengu wa sasa unakabiliwa na changamoto nyingi za maendeleo ya vyombo vya habari duniani, hivyo sisi nasi kama wanaulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, hatuna budi kwenda sambamba na mabadiliko hayo.
Kutokana na kozi hii, snimebaini kuwa asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya habari hapa nchini Tanzania, tuko nyuma sana katika matumizi ya itovuti ambayo katika somo moja tumeweza kuona kuwa tovuti inaweza kuibadiliosha jamii katika nyanja mbalimbaili ikiwa ni pamoja na katika nyanja ya habari.
Hivi sasa vyombo vingi vimeweza kufungua website zao kwa ajili ya kujaza mambo yao humo na yakasomwa na kila mmoja ulimwenguni. Na hiyo ndiyo njia ambayo kila chombo cha habari hivi sasa hapa nchini kimejitahidi kujitengenezea website na kuitumia kila kukicha.
Lakini Mwalimu Mr. Peik anasema si website tu ndiyo inaweza kusaidia kufikisha habari na matukio yako kwa watu wengine na kwa njia ya haraka.
Ansema kama media house, pia tunaweza kutumia blog pia katika kufikisha jumbe mbalimbali kwa jamii.
Na si vyombo vya habari tu, bali pia blog inaweza ikafunguliwa na mtu yeyote kwa manufaa yaw engine na yake pia.
Mwandishi wa Habri na mpiga picha Mashuhuri nchini Bw. Magid Mjengwa, anasema matumizi ya picha katika vyombo vya habari ni muhimu na hasa kama picha hizo zitakuwa na ujumbe wenye kumvuta muangaliaji na msomaji wa blog mliyonayo.
Hivyo kwa kifupi naweza kusema kuwa nimejifunza mengi ambayo ninaimani yatanisaidia mimi binafsi na ofisi yangu kwa ujumla.
MAPENDEKEZO YANGU
MISA TANZANIA kama mdau mkuu wa habari nchini, muendelee kutuwezesha katika kupata mafunzo mbbalimbali ambayo yatatusaidia katika kazi zetu za uandishi wa habari kwa kwenda na wakati.

No comments:
Post a Comment