Mdau Teddy Mapunda akifuatiwa na Rais wa TFF Leordiga Tenga na Rais Jk pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Richard Wells, wakifurahia jambo uwanjani hapo kabla ya mechi kuanza baina ya Tanzania na Zambia. (PICHA ZOTE ZA MECHI HII NI KWA HISANI YA BASHIRI NKOROMO)
JK. akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Zambi
Akisalimiana na mchezaji machachari wa Timu ya Kili Stars Gaudence Mwaikimba

Wachezaji wa Zambia wakimbana Mwaikimba
Ngasa akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Zambia Venecious Mapande
No comments:
Post a Comment