Sunday, November 28, 2010


RAIS Kikwete, akiwa na Mawaziri wapya baada ya kuwaapisha, Ikulu mjini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Makamu wa Rais, Dk. Bilal na Waziri Mkuu Pinda. Picha. http://www.chachandu daily blogspot.com/
MAJINA YA MAWAZIRI NA MANAIBU WAO WA WIZARA MBALIMBALI

RAIS Jakaya Kikwete ameliapisha Baraza lake jipya la
Mawaziri ambao ni:-
1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora):- Mathias Chikawe
Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu): Stephen Wassira

2.Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma):- Hawa Ghasia

3. Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano):- Samia Suluhu
Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira):- Dk. Terezya Luoga Hovisa

4. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge):- William Lukuvi
5. Uwekezaji na Uwezeshaji :- Dk. Mary Nagu

6. Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI);- George Huruma Mkuchika
Naibu:- Aggrey Mwanri
Naibu:- Kassim Majaliwa

7. Wizara ya Fedha Mustapha Mkulo
Naibu:- Gregory Teu
Naibu:- Pereira Ame Silima

8. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi;- Shamsi Vuai Nahodha
Naibu:- Balozi Khamis Suedi Kagasheki

9. Wizara ya Katiba na Sheria;- Celina Kombani

10. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa;- Bernard K. Membe Naibu:- Mahadhi Juma Mahadhi

11. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa;- Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi

12. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi;- Dk. Mathayo David Mathayo
Naibu:- Benedict Ole Nangoro

13. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia;- Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
Naibu:- Charles Kitwanga

14. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka Naibu:- Goodluck Ole Madeye

15. Wizara ya Maliasili na Utalii;- Ezekiel Maige

16. Wizara ya Nishati na Madini;- William Mganga Ngeleja Naibu;- Adam Kigoma Malima

17. Wizara ya Ujenzi;- Dk. John Pombe Magufuli
Naibu:- Dk. Harrison Mwakyembe

18. Wizara ya Uchukuzi;- Omari Nundu
Naibu:- Athumani Mfutakamba

19. Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Cyril Chami
Naibu:- Lazaro Nyalandu

20. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi;- Dk. Shukuru Kawambwa
Naibu:- Philipo Mulugo

21. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii;- Dk. Haji Hussein Mpanda
Naibu:- Dk. Lucy Nkya

22. Wizara ya Kazi na Ajira;- Gaudensia Kabaka Naibu;- Makongoro Mahanga

23. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto;- Sophia Simba Umi Ali Mwalimu

24. Wizara ya Habari, Vijana na Michezo;- Dk. Emmanuel John Nchimbi
Naibu:Dk. Fenella Mukangara

25. Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki;- Samuel John Sitta
Naibu;- Dk. Abdallah Juma Abdallah

26. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika;- Prof. Jumanne Maghembe
Naibu: Christopher Chiza

27. Wizara ya Maji: Prof. Mark James Mwandosya
Naibu: Eng. Gerson Lwinge

No comments: