Sunday, December 5, 2010

Baada ya kuamuliwa kusiwe na kiingilio, uwanja mpya siku hizi unatapika mashabiki kiasi wengine kuzuiwa kuingia ndani kwa kujaa, tofauti na wakati michuano ya Tusker challenge ilipoanza, ambapo kulikuwa na kiingilio.

No comments: