Tuesday, December 7, 2010

RAIS Jakaya Kikwete akilicharaza gita wakati alipowaongoza wanafamilia yake, nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma katika sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana.

No comments: