JK akishuhudia makumbusho ya wenzake huko Jose mart, huko havana, Cuba, kujionea kumbukumbu mbalimbali za kihistoria na maisha ya shujaa huyo kama zilizohifadhiwa katika makumbusho hayo. anayemwonyesha mheshimiwa rais kumbukumbu hizo ni afisa makumbusho hayo bi Eva Maria Torres.
Tuesday, December 8, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment