Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na askari kwenda kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya kiongozi shujaa wa cuba,national hero, bwana jose marti, mnara huo umejengwa katika mji mkuu wa cuba,havana.
rais alifanya shuguli hiyo tarehe 1.12.09
No comments:
Post a Comment