Banda la Tanzania kwenye Food Bazaar linalofanyika kila mwaka huko Geneva, Uswissi, na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali zenye balozi zao huko. Misosi ya Tanzania ilikuwa kivutio kikubwa na wengi walivutiwa na mtori, makande na nyama choma
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment