HAYA HUYO MLENGWA BI. FURAHA, KULIA AKIJIANDAA KUPELEKA ZAWADI YA KEKI KWA WAZAZI WAKE. JUU MPAMBE WAKE AKIMPELEKA KWENYE MEZA YA WAZAZI TAYARI KWA KUKABIDHI ZAWADI HIYO.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment