MDAU CELINA NI MIONGONI MWA WATU MUHIMU AMBAO WATAKUMBUKWA KATIKA SHEREHE HIYO NA HASA NA FAMILIA YA BIBI. FURAHA. CELINA ALIFUNGUA SHAMPAIN SIKU HIYO KAMA ANAVYOONEKANA PICHANI
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment