Wednesday, November 17, 2010




Mh. Job Ndugai akila kiapo baada ya kuchaguliwa wa kura nyingi kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo jioni mjini Dodoma.

No comments: