Naibu waziri wa Viwanda na Biashara ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya nyumba tembe ambazo kapania kuziondoa jimboni humo.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment