Wednesday, November 17, 2010
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanaznaia Jakaya Mrisho Kikwete, leo ameungana na Waamini wa Dini ya Kiislamu kote nchini kusali Sala ya Eid El Hajj. Pichani anaonekana akizungumza na mmoja wa watoto waliofika msikitini hapo kwa ajili ya swala katika Msikiti wa Gaddaffi uliopo mjini Dodoma leo asubuhi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment