Spika Anne Makinda aingia rasmi katika ofisi yake ya jijini Dar es Salaam
Mhe. Anne Makinda (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikaribishwa rasmi ofisini kwake leo na Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bi. Kitolona Kippa kwa niaba ya Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah
Spika Anne Makinda akitoa maelekezo kwa baadhi ya wakurugenzi waliompokea alipowasilili ofisini kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Spika wa Bunge.
Spika Anne Makinda akipokea taarifa ya utambulisho wa watendaji wakuu wa ofisi ya Bunge kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala (kulia).Picha na Prosper Minja- Bunge
No comments:
Post a Comment