WADAU WA UHURU PUBLICATION LTD, WAKISELEBUKA KATIKA HAFLA YA KUM-SEND OFF MFANYAKAZI MWENZAO BI. FURAHA AMBAYE IJUMAA YA TARAHE 19, NOVEMBA ANAFUNGA NDOA YAKE
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment