TUPAMBE KWA MAPAMBO YETU YA ASILI MITUNGI ambayo imebakia kuwa mapambo ya barabara baada ya kukosa wateja, tatizo ambalo linakwamisha juhudi za wajasiriamali wa sekta inayojiajiri katika kujiendeleza kiuchumi.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment