
Mdau wa Kitengo cha HRM cha Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Bw. Hans akielekezwa jambo na Bibi Lilian Timbuka Kibiriti alipokuwa anamkabidhi Ramani ya Tanzania kama zawadi toka kwa wafanyakazi wa baraza hilo siku walipokuwa wakimuaga. Hans ni raia wa Ujerumani na sasa amesharejea kwao baada ya kumaliza mkataba wake
No comments:
Post a Comment