Monday, July 30, 2012

MGOMO WA WALIMU

ACHA TUFUNDISHANE WENYEWE


MWANAFUNZI wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Meta, mkoani Mbeya, Herifield Francisco, akiendesha darasa, ambapo aliuliza maswali kuhusu uhalali wa mgomo wa walimu, ulioanza jana. (Picha na Mdau Solomon Mwansele).

No comments: