Wanafunzi wa shule ya msingi Makuburi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wameuchapa usingizi baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kufundisha bila mafanikio, wiki iliyopita Chama cha Walimu CWT kilitangaza kuwa leo jumatatu walimu wa shule za Sekondari na Msingi wangeanza mgomo nchi nzima kutokana na kutofikia muafaka kwa madai yao dhidi ya Serikali.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabibo iliyopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiwa wamelala baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kuwafundisha madarasani. (Picha kwa Hisani ya Blog ya FULL SHANGWE)
No comments:
Post a Comment