Monday, July 30, 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (katikati) na Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo asubuhi (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu Pinda akizungumza na Mbunge wa Babati, Kisyeri Chambiri, kwenye jengo la utawala la Buge Mjini Dodoma, leo asubuhi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: