Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo (Katikati), akizungumza na Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu, kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama, alipotembelea bungeni leo mjini Dodoma na kuzungumza na Mawaziri, wabunge na viongozi mbalimbali wanaohudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment