Tuesday, July 31, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUTURISHA MKOANI LINDI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru waalikwa kwa kuhudhuria kwenye hafla ya futari aliyoandaa katika Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi Julai 30, 2012.


Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kufuturu.

No comments: