Monday, July 30, 2012

SHESHE LA VITAMBULISHO VYA TAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM

Wakiwa kwenye foleni kwenda kujiandikisha ndani


Wakazi wa eneo hilo wakiwa katika moja ya mlango wakigombea kuingia kuchukua fomu


Diwani wa Kata ya Kivule, Dar es Salaam, Getama Nyansika (kulia) akiwa amezingirwa na wananchi alipokuwa akigawa fomu za kuijiandikisha katika daftari la Vitambulisho vya Taifa leo katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Kivule.Nyansika alisaidia sana kupunguza msongamano wa watu uliokuwepo hapo tangu alfajiri.


SHIKAMOO BIBI, HABARI ZA SIKU

Ndivyo anavyoonekama kuzungumza Rais Jakaya Mrisho Kikwete, alipokwenda kumtembelea Bibi Antonia Mbagalla (85), katika kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani, alipokuwa kwenye mapumziko ya mwishoni mwa juma wiki (Picha na Mdau Freddy Maro).

No comments: