NAREJESHA FOMUMstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimkabidhi fomu anazorejesha za kugombea nafasi ya ujumbe wa UVCCM-NEC, Katibu wa UVCCM mkoani Mwanza Elias Mpanda jana, katika ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza. Mstahiki Meya huyo anagombea nafasi ya ujumbe wa UVCCM-NEC ngazi ya Taifa.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment