Thursday, January 8, 2009

NIPENI BEI!!


Ndivyo anavyoonekana kusema Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, alipokuwa akinadi Msalaba wenye Picha ya Yesu katika Harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa katika Parokia ya Mburahati Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam katika siku ya sherehe wa Somo wa Parokia hiyo Familia Takatifu Januari 4,2009

No comments: