Thursday, January 8, 2009

HONGERA BABA!!!!


POKEA MSALABA HUU UKAUTUMIE NYUMBANI KWAKO NA FAMILIA YAKO KWA UTUKUFU WA MUUMBA!. Ndivyo anavyoonekana kusema Mwadhama huku akimkabidhi mmoja wa waamini wa Parokia ya Mburahati aliyefanikiwa kuununua msalaba kwa kiasi cha Shilingi Milioni Moja na Laki Mbili.

No comments: