Monday, November 30, 2009

HAWA NAO WAMO!!!











Watoto wa shule ya Msingi ya CANNOSA hivi karibuni walionesha ushujaa wao wa kucheza lile gwaride la miaka iiiiiiiiiiiiiiileeee walipokuwa wakiwaga wenzao waliokuwa wakihitimu elimu yao ya msingi pata uhondo katika picha hivi!

No comments: