Monday, November 30, 2009

DCM


Hivi karibuni katika barabara ya Mbagala, abiria waliponea chupuchupu baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Mbagala kuelekea Mwenge, kuchomoka matairi yote ya nyuma, hebu angalia picha hii, kisha tafakari kama ungekuwa ndani ya gari igekuwaje!!!!

No comments: