Monday, November 16, 2009

MAZINGIRA YETU

Hiki ni moja ya choo kilichopo katika maeneo ya chang'ombe jijini Dar es Salaam! jamani na kipindupindu hiki, tutapona. Picha hii nimetuwa na mdau wa Global Publisher's alipokuwa akivinjari mitaani kuperuzi hali ya usafi wa mazingira. si hii picha hii tu aliyoinasa, ona na hizi zingine!
MH. LUKUVI UPO!!!!!!!!

No comments: