Tuesday, December 8, 2009


rais jakaya kikwete akiwa na rais wa cuba jenerali raul castro ruz wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na rais castro kwa ajili ya rais kikwete huko havana,mji mkuu wa cuba tarehe 1.12.09 (Picha zote zimepatikana kwa msaada wa Mdau JOHN LUKUWI aliyeambatana na Rais katika ziara hiyo ya umangani. Asante sana Father John!!

No comments: