rais kikwete na rais raul wa cuba wakizungumza na mkalimani bwana juan jacomino ambaye alisoma na kuhitimu digrii ya kiswahili katika chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 1984.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment