Rais Kikwete akimsikiliza kwa makini Dr. Jose Antonio Fraga Castro ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Chanjo za mifugo, LABIOFARM, alipokitembelea kituo hicho.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment