Tuesday, December 8, 2009


Kwaheri Dr. Jose Antonio Fraga Castro, nadhani tutaonana tena Mungu akipenda!! Ndivyo anavyoonekana kusema Dk. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kupata maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo hicho kilichoko jijini Havana, nchini Cuba

No comments: