Tuesday, December 8, 2009


Habari za huku kwenu ndugu yangu!!!!

Dk. Jk akimsabahi Rais wa Cuba Jenerali Raul Castro Ruz wakati alipokwenda kumpokea mara baada ya JK kuwasili nchini humo.

No comments: