Rais Kikwete na Rais Raul wa Cuba wanaonekana wakiwa wamesimama kwa heshima wakati nyimbo za mataifa ya Cuba na Tanzania zilipopigwa wakati wa mapokezi rasmi ya Rais Kikwete nchini Cuba alikokuwa kwa ziara ya kikazi. Hata hivyo JK amerejea jana jioni na sasa yupo home TZ.
Tuesday, December 8, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment