Sunday, November 28, 2010


Baadhi ya wanafunzi wa UDSM wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa maadhimisho hayo,huku wengine akiwa na bango la ujumbe waliotaka umfikie Pinda (Picha kwa Hisani ya Bashiri Nkoromo)


Mwanamuziki mahiri kwa mashairi, Mrisho Mpoto akiimba shairi maalum la kusherehesha uzinduzi huo akiwa na bendi yake ya Mjomba Band ( Picha na Mdau Nkoromo)

No comments: