Tuesday, November 16, 2010


JK akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ambalo anatarajiwa kulitangaza bungeni jioni hii. Tuvute subira wadau....

No comments: