Ni huzuni tupu katika benchi la timu ya Kilimanjaro Stars. Stars ilichapwa bao 1-0
Rais wa CECAFA na TFF Leodgar Tenga akikabidhiwa Medali na Aliekua mkuu wa kamati ya maandalizi ya kombe la Dunia 2010 lililofanyika nchini Afrika Kusini,Danny Jordan.
Naitwa Lilian Timbuka,kabila langu Mngoni dini Mkristo.
Ni mtoto wa Nne kwa kuzaliwa kati ya watoto Nane wa Mzee George Timbuka na Mama Victoria Timbuka. Kwa sasa ninafanya kazi katika Kampuni inayozalishja magazeti ya UHURU na MZALENDO (UPL). ni Mwandishi wa Habari by Professional.
No comments:
Post a Comment