Mh. Anna Makinda, akiwasili kazini Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Mh. Anna Makinda, akiwasili kazini Dodoma.
JINA LA WAZIRI MKUU LILILOTEGEMEWA KUPELEKWA NA IKULU ASUBUHI HII HUKO BUNGENI DODOMA LINATEGEMEWA KUMFIKIA SPIKA ANNA MAKINDA LEO JIONI AMBAPO BAADA YA KULITAMKA ATAWATAKA WABUNGE WALIIDHINISHE.
VILE VILE LEO JIONI NAIBU SPIKA ATAPIGIWA KURA NA KUCHAGULIWA RASMI. BUNGE LIMESITISHWA HADI HAPO JIONI AMBAPO PAMOJA NA KUJULOIKANA KWA WAZIRI MKUU NA NAIBU SPIKA, PIA UCHAGUZI WA WABUNGE WATAOWAKILISHA NCHI KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI PAMOJA NA SADC WATAJULIKANA.

No comments:
Post a Comment