Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na mwenyekiti wa UWT Bi.Sophia Simba wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto chipukizi walioshiriki sherehe maalum za kumpongeza Rais Kikwete kwa kushinda uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Bi. Sophia Simba akimkabidhi zawadi ya Shati mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumpongeza Rais Kikwete kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Sherehe hizo ambazo zilihudhuriwa pia na mke wa Rais mama Salma kikwete zilifanyika katika viwanja vya Biafra Kinondoni jijiji Dar es Salaam.

Baadhi ya wanachama wa UWT waliohudhuria shrehe maalumu za kumpongeza RaisDr. Jakaya Kikwete kwa kushinda uchaguzi mkuu uliuomalizika hivi karibuni (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment