Tuesday, December 7, 2010
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akikabidhi cheti kwa mmoja wa Makamanda waliohitimu Kozi ya Unadhimu na Ukamanda, Chuo cha Unadhimu na Ukamanda, Monduli mkoani Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita. Jumla ya Makamanda 40 kutoka Botswana, Kenya, Namibia, Zimbabwe na wenyeji Tanzania wallihituimu mafunzo hayo. (Picha kwa hisani ya JWTZ).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment