Thursday, November 13, 2008

INAVUTIA, INAPENDEZA, INAWEZA KUJUA HAYA

UTULIVU MUHIMU!!!
Tuko darasani tunakula kitabu kwa njia ya mtandao. Mr, Peik Johansson mzungu huyu ambaye pia anafani ya uandishi wa habari, anatuelekeza nini cha kufanya khusiana na kutafuta habari mbalimbali kwa njia ya mtandao, upo mpaka hapo!!!!
http://misaeditorsworkshop.blogspot.com/NILIYOJIFUNZA JANA!!!!
JOURNALISTIC RESEARCH ASSIGNMENTS THROUGH THE INTERNET
Mwalimu Peik Johansson alitufundisha namna ya kufanya resach kwa kupitia mitandao mbalimbali ya internet ambayo inapatikana kwa kupitia website ya google.
Katika somo hilo, tuliona kuwa mtu unaweza kupata habari na takwimu mbalimbali kwa kupitia mitandao kama ya CNN, All Afrika, Reuters, Aljazeeral Inter Press Service , Hello in my Language xe.com na mingine mingi.
Kwa upande wa utafutaji wa takwimu, tulitafuta takwimu za athari ya ugonjwa wa malaria katika wilaya ya Karagwe. Hata hivyo Bw. Peik alitahadharisha juu ya utafiti huo kuwa, kama waandishi na kama wahariri, tunatakiwa pia kufanya mawasiliano zaidi na wahusika badala ya kuamini takwimu zinazokuwapo katika mitandao.
Hivyo alitufundisha namna ya kutafuta mawasiliano ya namba za simu kwa kupitia inaternet.
Pia siku hiyo tulijifunza namna ya kulink nab log za watu wengine, kwa mfano Blog ya Tanzania Editors going online.
Kwa kifpi ni hayo. ZAIDI TWAWEZA ONANA KWA MAELEKEZO ZAIDI.
Very interested!!!!.

No comments: