Sunday, January 9, 2011



JK akimpa zawadi Waziri Mkuu mstaafu Mh. Cleopa Msuya kwenye hafla ya hepi besdei ya kutimiza miaka 80 kwa kiongozi huyo wa zamani iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar. JK alimsifu sana Mzee Msuya kwa kuleta mabadiliko ya uchumi wa nchi yetu alipokuwa waziri mkuu kuanzia kati hadi mwisho wa miaka ya 80 wakati nchi ikiingia kwenye mfumo wa biashara huria.


Mzee Msuya akikata keki ya kusherehekea hepi besdei ya kuzaliwa kwake akiwa kazungukwa na watoto na wajukuu zake.

JK, Mama Salma Kikwete na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi na Mama Sitti Mwinyi akipozi na Mzee Msuya na watoto na wajukuu. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments: