Sunday, January 9, 2011










Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, akizungumza na watumishi wa Tume ya Kudhibiti na Kuratibu Dawa za Kulevya nchini, alipotembelea ofisi hiyo hivi karibuni.






Kamishina wa Tume Christopher Shekiondo akizungumza katika ziara hiyo ya Waziri Lukuvi ofisini hapo, ambapo Kamishina huyo alitoa mwelekeo wa ofisi yake katika utendaji na changamoto wanazokabiliana nazo hivi sasa



































No comments: