Friday, June 29, 2012



MWENYEKITI wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, akiwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) cha Taasisi ya Mifupa Muhimbili, Dar es Salaam, alikolazwa baada ya kutekwa na kushambuliwa na watu ambao hawajafahamika.

No comments: