Tuesday, July 31, 2012

NAPE, SHIGELLA WAKUTANA NA WAANDISHI DAR

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi ya CCM, Nape Nnauye saa tano hii (Julai 31, 2012), anafanya mkutano katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, Wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martine Shigella amekutana na waandishi saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya UVCCM, Dar es Salaam.
Taarifa za awali ambazo blog hii imezipata, zimesema viongozi hao wanazungumzia mambo tofauti tofauti.

No comments: