


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi muda mfupikabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa dini mjini Mbeya jana.
SALUMU MWALIMU KAZINI

Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim (Kulia), akiwaelezea wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka kushoto Abbas Mtemvu (Temeke), David Silinde (Mbozi Magharibi) na Mussa Azan (Ilala), faida za kujiunga na huduma za mkataba na kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment