Friday, November 20, 2009

KOMBE LA DUNIA


Rais Jakaya Mrisho wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndiye mtu pekee aliyepatiwa nafasai ya kuligusa Kombe la Dunia lililotua jijini Dar es Salaam Alasiri ya Novemba 19,2009. Hebu mcheki mzee hapa anavyolifurahia

No comments: