Friday, November 20, 2009

TUJIFUNZE KWA PAMOJA


Hawa ni baadhi ya vijana wanaojifunza masomo ya ufundi wa magari katika Chup cha VETA kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Geita. Hapa wanaonekana wakiwa darasani.

No comments: