watanzania tumpigie kura peter msechu ashinde tusker project fame
Watanzania Wenzangu,Mshiriki wetu katika shindano la Tusker Project Fame 2010 Peter Msechu amefanikiwa kuingia fainali za shindano hilo,kwa hiyo kikubwa kinachohitajika hapa ni kumpigia kura nyingi tu ili aibuke mshindi.Hivyo tumpigie kura mshiriki wetu PETER MSECHU kwa kutuma ujumbe mfupi,andika TUSKER9 halafu tuma namba 15522,kwa kufanya hivyo utakuwa umempa ushindi mshiriki wetu na pia kwa Tanzania.Kumbuka kura zinafungwa leo saa sita mchana.
No comments:
Post a Comment